Wakuu wa Mikoa waliotenguliwa na Rais Samia
Uteuzi wa baadhi ya wakuu wa mikoa umetenguliwa leo baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kufanya mabadiliko kwenye Uteuzi wa wakuu wa mikoa mbalimbali nchini, ambapo wakuu wa mikoa 9 wameteuliwa, na wengine 10 wakisalia kwenye vituo vyao vya kazi.