"Wananchi wako tayari kuchangia tozo" - Eyakuze

Mkurugenzi wa Taasisi ya Twaweza Aidan Eyakuze

Mkurugenzi wa Taasisi ya Twaweza Aidan Eyakuze, amesema ameona kwamba Watanzania wapo tayari kuchangia maendeleo kwa tozo ama kodi endapo tu mifumo itawapa nafasi na kuwaelewesha kwamba watanufaika vipi na tozo wanazokatwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS