Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wake

Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Masanja shija (58) baada ya kupatikana hatia ya kufanya mapenzi na mtoto wake wa kike aliyekuwa chini ya umri wa  miaka 18

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS