Serengeti Girls kuanza na Japan Oktoba 12 Timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ Timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Girls’ imepangwa kuanza na Japan kwenye michuano ya Kombe la Dunia, itakayoanza Oktoba 11, mwaka huu nchini India. Read more about Serengeti Girls kuanza na Japan Oktoba 12