KMC yaipigia hesabu Namungo Timu ya KMC leo imeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo utakaochezwa Oktoba 1 katika uwanja wa Majaliwa Ruangwa, Lindi. Read more about KMC yaipigia hesabu Namungo