Christian Bella awataja mashemeji kukwamisha ndoa Picha ya msanii Christian Bella King of the Best Melody Christian Bella amesema huenda mashemeji wakawa ndio chanzo cha kukwamisha ndoa nyingi za vijana kutokea kwa sababu wanakuwa na mahitaji mengi. Read more about Christian Bella awataja mashemeji kukwamisha ndoa