Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu
Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili sasa hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharula wa kukabiliana na tatizo hilo

