Akamatwa akichinja mbwa Kagera Kijana aliyejitambulisha kwa majina ya Amimu Hashimu mkazi wa eneo la Kashai katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, amekamatwa akichinja mbwa aliyedai kuagizwa na mtu amchinje halafu ampelekee nyama. Read more about Akamatwa akichinja mbwa Kagera