Pacha aliyetenganishwa Muhimbili afariki
Pacha Rehema aliyesalia kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai 01,2022, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili amefariki dunia jana Agosti 11, 2022, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali hiyo.