Kesi nyingi upelelezi umekamilika - IGP Wambura
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewahakikishia wananchi na watanzania kuwa, kesi nyingi zilizokuwa zimekwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upelelezi kwa sasa kesi hizo tayari zimekwisha shughulikiwa na mamlaka zinazohusika