Mhandisi Kasekenya atoa maagizo TANROADS na TARURA
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi sekta ya Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameziagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuzifanyia kazi kwa wakati taarifa zitakazotolewa na watumiaji wa barabara kupitia mfumo mpya wa kielektroniki