Wakulima wa alizeti waomba mikakati zaidi
Wadau kilimo cha alizeti mkoani Morogoro wameiomba serikali kupitia Wizara ya Kilimo kuweka mikakati na kipaumbele katika kilimo cha zao la alizeti ili kuhakikisha kunakuwa na uzalishaji wa kutosha wa mafuta ya kula hapa nchini