Elfu 10 yauwa mke kwa kipigo
Maria Sakware, mkazi wa mkoa wa Manyara, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa fimbo na mume wake aitwae Petro Fabiano, na kumsababishia majeraha katika mguu wa kushoto na kumvunja mkono wa kushoto kwa kumtuhumu kuwa amechukua elfu 10.