Wanafunzi waliofariki yaelezwa 3 waliomba lifti

Gari la basi lililopata ajali

Kwa mujibu wa Mkuu wa shule ya King David, iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani Daniel Msilu, amesema wanafunzi wa shule yake waliofariki ni watano pamoja na dereva, na kusema wanafunzi wengine watatu pamoja na mwanamke mmoja walikuwa wamepewa lifti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS