Sungusungu wapigwa marufuku kupiga wananchi
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limepiga marufuku hatua ya walinzi wa jadi maarufu kama Sungusungu kukamata wahalifu na kuwashushia vipigo vizito ambavyo wakati mwingine vimekuwa vikiwapelekea kupoteza maisha kabla ya kufikishwa mikononi mwa Polisi