Dodoma kujengwa mnara wa hadhi ya makao makuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,

Rais Samia Suluhu Hassan, amependekeza kwa ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na mkuu wa mkoa wa Dodoma, kutenga eneo kubwa na bora zaidi kwa ajili ya kujenga mnara wenye hadhi ya makao makuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS