Wakamatwa wakitorosha madini Shinyanga Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kutorosha madini ya dhahabu yenye uzito wa gramu 930. 88 ambayo thamani yake ni Sh Milioni 93 Read more about Wakamatwa wakitorosha madini Shinyanga