Zaidi ya Watu Milioni 50 hatarini kukosa chakula Njaa kuzikumba nchi saba IGAD Zaidi ya watu milioni 50 wanatarajiwa kukabiliwa na viwango vikubwa vya uhaba mkubwa wa chakula mwaka huu katika nchi saba za Jumuiya ya IGAD. Read more about Zaidi ya Watu Milioni 50 hatarini kukosa chakula