Sopu aipa ushindi Taifa Stars
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Somalia kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za mataifa barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani CHAN.