Watu 30 wateketea kwa moto Nigeria

Moto

Mamlaka nchini Nigeria zinasema kwamba takribani watu 30 wameteketea kwa moto na kupoteza maisha huku makumi wengine wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Kaskazini kwa mji wa  Kaduna.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS