Polisi Dar wajeruhi majambazi waliokuwa na silaha

Baadhi ya silaha walizokuwa nazo majambazi hao

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limewakamata watu tisa wanaodhaniwa kuwa ni majambazi na kuwajeruhi baadhi yao baada ya kuwakuta wakishiriki tukio la ujambazi usiku wa kuamkia leo Julai 22, 2022, maeneo ya kiwanda cha Sheri Automotive Germany kilichopo Keko wilayani Temeke. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS