Tulinde miundombinu yetu - Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa baadhi ya wananchi wanaoshiriki katika uharibufu wa miundombinu ikiwemo barabara nchini na kuwataka watanzania kulinda miundombinu hiyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS