Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya madini Serikali imepanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya madini kwa kuvutia wawekezaji wengi duniani kuja kuwekeza katika sekta hiyo na kufungua fursa nyingi za kuchimba madini Read more about Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya madini