Waziri Ummy ahimiza usafi wa mazingira

Viongozi wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo yao pamoja na kufukia madimbwi yote ili kuteketeza mazalia ya mbu yanayopelekea kuongezeka kwa mbu na ugonjwa wa malaria nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS