Nigeria yachukua tahadhari ya ugonjwa wa Marburg Kituo cha kudhibiti magonjwa nchini Nigeria (NCDC) kimesema kuwa kipo kwenye tahadhari kufuatia visa vya ugonjwa wa Marburg nchini Ghana, baada ya kuripotiwa visa viwili vya nchini humo Read more about Nigeria yachukua tahadhari ya ugonjwa wa Marburg