Majaliwa azitaka taasisi za elimu ziende na wakati

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema taasisi za elimu ya juu ambazo ni wazalishaji wa maarifa na ujuzi kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, hazina budi kuwa mbele ya wakati siku zote ili kuhakikisha kuwa zinabuni na kuanzisha programu mpya zinazokwenda na wakati. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS