Rais Samia afanya uteuzi wa IGP mpya

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna wa Polisi Camilius Mongoso Wambura kuwa Inspekta na Mkuu wa Jeshi la Polisi akichukua nafasi ya Simon Sirro ambaye ameteuliwa kuwa balozi nchini Zimbabwe

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS