Bweni la wasichana sekondari ya Mubaba lateketea

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mubaba iliyoko kata ya Kaniha Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, wameiomba serikali na wadau kuwasaidia kupata vitanda, magodoro, mashuka, vifaa vya shule, nguo na mahitaji mengine, baada ya bweni la wasichana kuteketea kwa moto Julai 17 mwaka huu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS