Kikao cha Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi na watumishi wake
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula ameelekeza makamishina wa ardhi ambao wanakiuka sheria za ardhi nchini kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwakuwa wanaisababishia serikali hasara