Hatua kali kuchukuliwa kwa waliotelekeza watoto

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Doroth Gwajima

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ameagiza wazazi na walezi wanaohusika katika kuwatumikisha watoto kwenye kazi na biashara mbalimbali, pamoja na wazazi waliotelekeza watoto kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kutowajibika kwenye malezi ya watoto wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS