"Ni lazima mwenye kipato alipe kodi" - Dkt.Nchemba
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kwamba ni lazima kila mtu mwenye kipato alipe kodi ili kutotengeneza mwanya mkubwa kati ya wasio nacho na wenye nacho hapa nchini.