Watafiti wasisitiza nchi ijenge viwanda
Watafiti Nguli nchini Tanzania wasema kwa sasa nchi inatakiwa kuzidi kuongeza viwanda vingi ili kuongeza thamani ya rasilimali za asilia nyingi zinazopatikana kwenye mikoa mbalimbali ikiwemo gesi asilia, madini, Kilimo, pamoja na mafuta ili kukuza uchumi wa Taifa.