Jela baada ya kumchapa viboko Karani wa Sensa

Amos Nyang'waji

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Amos Nyang'waji (25), mkazi wa Kijiji cha Matui wilayani Kiteto mkoani Manyara, amehukumiwa kwenda jela miaka minne kwa kosa la kumcharaza viboko Karani wa Sensa na kuharibu kishikwambi chake wakati akitekeleza majukumu yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS