Watatu mbaroni kwa mauaji ya mwalimu Mara
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kumuua mwalimu Saidi Hamisi wa Sekondari Masaba iliyopo kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama Mkoani Mara na kumjeruhi vibaya Isikaha Hamisi ambae ni mdogo wa marehemu huku wakiwaibia simu za uwakala pamoja na kompyuta

