Kambi ya Simba Misri Kambi ya Simba Kikosi cha Simba kimefika salama nchini Misri baada ya safari yao kuanza jana Julai 14,2022 huku wakionyesha hoteli ambayo wamefikia kwaajili ya kambi ya siku 23 kwenye mji Ismailia nchini Misri Read more about Kambi ya Simba Misri