Kim Poulsen - tunahitaji ushindi
Kocha wa timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’, Kim Poulsen amesema anahitaji ushindi kwenye mechi zao dhidi ya Somalia ili kusonga mbele zaidi kwenye hatua ya kufuzu Fainali ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).