Nandy apewa Milioni 106 za kuanzia maisha 

Picha ya Billnass na Nandy

The African Princess Nandy amefanyiwa surprise ya kupewa hundi ya benki yenye thamani ya Tsh Milioni 106 kama kianzio cha maisha yake mapya ya ndoa na mume wake mtarajiwa Billnass.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS