Dkt. Pindi Chana ataka maliasili kulindwa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa viongozi na watumishi wa Wizara hiyo na Taasisi zake kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufasini katika kulinda na kuhifadhi rasilimali