Akiri kuvuta bangi kumuunga mkono Prof. Wajackoyah
Mwanaume mmoja nchini Kenya Boniface Mutua mwenye miaka 47, ameishangaza mahakama ya Eldoret baada ya kukiri kuvuta bangi na kusema anafanya hivyo kumuunga mkono mgombea Urais nchini humo Prof. George Wajackoyah.