Waziri Mkuu aagiza wahandisi wapewe kazi nyingine
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekagua daraja la mawe lenye urefu wa mita 30 na upana wa mita saba lililojengwa katika barabara ya Iguguno-Kikhonda hadi Kinampundu wilayani Mkalama na kuwapongeza wahandisi kwa ubunifu na ubora na kuagiza wapewe kazi nyingine.