Zambia, Morocco wafuzu nusu fainali WAFCON 2022.
Timu ya taifa ya Zambia ya Wanawake imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFCON ya Wanawake baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Senegal kufuatia sare ya bao 1-1 kwenye mivhezo ya kwanza ya mtoano iliyoanza usiku wa Julai 13, 2022.