Watatu wagongwa na gari na kufariki Arusha
Watu watatu wa familia moja akiwemo Kaka, Dada na mtoto mdogo wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Julai 13, 2022, baada ya kugongwa na gari katika barabara ya East Africa, hali iliyopelekea mamia ya wakazi wa Kata ya Muriet jijini Arusha kufunga barabara wakinishikiza iwekwe alama.