Queens iko tayari kwa fainali ya CECAFA kesho
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma amesema kikosi chake kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Michuano ya CECAFA dhidi ya SHE Corporates ya Uganda utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex saa moja usiku.

