"Mimi ndio Role Model wao" - Yusuph Mlela Picha ya Yusuph Mlela Msanii wa filamu Yusuph Mlela amesema kuwa yeye ndio 'Role Model' wa vijana wengi wanaochipukia kwenye uigizaji kwa sababu amewa-inspire kufanya filamu na kuwashauri pia. Read more about "Mimi ndio Role Model wao" - Yusuph Mlela