Dalili zinazopelekea wananchi kutokwa damu zatajwa
Mganga Mkuu wa serikali Dkt. Aifello Sichwale
Mganga Mkuu wa serikali Dkt. Aifello Sichwale, amesema kwamba dalili wanazoanza kuzipata wananchi hadi kutoka na damu puani ni pamoja na homa, mwili kuchoka na kushindwa kupumua.