Ndemla asaini Singida Big Stars
Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba sc Said Ndemla ambaye alimalizia msimu akiitumikia klabu ya Mtibwa Sugar kwa mkopo tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Singida Big Stars ambayo imepanda ligi kuu msimu ujao.