Rayvanny aweka wazi kilichomtoa WCB

Picha ya Rayvanny kulia, kushoto ni Diamond Platnumz

CEO wa Next Level Music Rayvanny ni rasmi sasa ametangaza kuondoka kwenye lebo yake ya WCB ambayo amefanya nayo kazi kwa miaka 6 na kupata mafanikio mengi na kutoa hits kibao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS