Miradi itokane na makusanyo ya ndani - Majaliwa
Waziri Kassim Majaliwa amekutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam na ya wilaya ya Kinondoni ambapo pamoja na mambo mengine ameagiza makusanyo ya fedha za ndani yatumike katika ujenzi wa miradi ya maendeleo badala ya kutegemea fedha zinazotoka Serikali Kuu pekee