Dunia itakuwa na watu bilioni 8 mwaka huu

Kwa mujibu wa ripoti hiyo idadi ya watu duniani inaongezeka kwa kasi ndogo zaidi tangu mwaka 1950.

Ifikapo Novemba 15 mwaka huu idadi ya watu duniani itafikia bilioni 8 kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa, Idara ya Uchumi na Jamii siku ya leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS