Rais Rajapaksa athibitisha kujiuzulu

Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa

Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Sri Lanka imesema kwamba Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa, amethibitisha kwamba atajiuzulu, hiyo ni baada ya maelfu ya waandamanaji kuvamia Ikulu ya Rais huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS